Mbwaduke Stats
Mbwaduke Stats
  • 374
  • 6 648 486

Відео

MBWADUKE: TOBAAH! CHAMA KWELI YANGA?/ KOLABO YAKE NA PACOME, KI, MAXI BALAA TUPU/ HUKO CAF...
Переглядів 7 тис.18 годин тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: STEVEN MUKWALA SIMBA? STRAIKA ALIYESHIBA MKALI WA KUFUMANIA NYAVU/ CHANGAMOTO ZAKE NI...
Переглядів 9 тис.18 годин тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like
MBWADUKE: POWERFUL! NYOTA WA ORLANDO AHUSISHWA YANGA/AKISAINI TU HUKO CAF KINA ESPERANCE KAZI WANAYO
Переглядів 3,1 тис.20 годин тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: YANGA YAPANDA TENA KIBABE VIWANGO CAF/ NI REKODI MPYA/ SASA YAZIPUMULIA MAZEMBE, PETRO...
Переглядів 13 тис.23 години тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: SURPRISE! SIMBA YAKWEA ZAIDI VIWANGO VIPYA UBORA CAF/ YATIMULIA VUMBI VIGOGO KIBAO...
Переглядів 32 тис.23 години тому
Usisahau ku-subscribe, ku-coment na ku-like...
MBWADUKE: WHAT'S WRONG? MIQUISSONE KITU GANI KIMEMKUTA SIMBA HADI "THANK YOU" IKAMHUSU? SIKIA HAPA..
Переглядів 1,7 тис.День тому
#lamecklawi #mpetabasamu #job #kibwana #thankyou #clatouschama #mnyama tokazamani #alikiba #tundaman #alikamwe #ahmedali #simba #benchikha #jwaneng #chama #modewji #eng.hersi #gsm #lamecklawi #caf #kisasi #alahly #gamondi #mamelodi #chama #simba #babacarsarr #geitagold #kayoko #ivorycoast #nigeria #benchikha #taboraunited #clatouschotachama #paomarjobe #saidontibazonkiza #dodomajiji #mudathir #...
MBWADUKE: SUPERB! CHAMA, KI WAFUNIKA REKODI CAF-CL/ WAFUATIA RIBEIRO WA MAMELODI, TEKA ESPERANCE
Переглядів 5 тис.День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like... #alahly #mamelodi #robo fainalicaf #clatouschama #mnyama tokazamani #alikiba #tundaman #alikamwe #ahmedali #simba #benchikha #jwaneng #thankyou #chama #modewji #eng.hersi #gsm #lamecklawi #caf #kisasi #alahly #gamondi #mamelodi #chama #simba #babacarsarr #geitagold #kayoko #ivorycoast #nigeria #benchikha #taboraunited #clatouschotachama #paomarjob...
MBWADUKE: CHAMA TENA? WHY?
Переглядів 14 тис.День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: FAILED MISSION? OKRAH AHUSISHWA NA THANK YOU YANGA/ NI BAADA YA...
Переглядів 1,4 тис.День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like..
MBWADUKE: ENOUGH! SAIDO YATOSHA/ REKODI ZAKE SIMBA BALAA...
Переглядів 538День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: POOR NABI! NI MKOSI AU? GHAFLA TU APOTEZA UBABE WA MATAJI ALIOKUWA NAO YANGA/ CHIEFS...
Переглядів 7 тис.День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Katika mechi zao za mwisho, Raja walishinda 3-0 na Far Rabat ya Nabi ilishinda 2-0. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
MBWADUKE: BOCCO THE LEGEND SIMBA/ SIKIA SOMO ALILOWAACHIA KINA KIBU, ONANA, CHASAMBI, BALUA, JOBE...
Переглядів 754День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: YANGA KUNASA KIPA NO.1 WA GHANA FAINALI AFCON?/ AKIUNGANA NA DIARRA HUKO CAF WATAISOMA...
Переглядів 9 тис.День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: MWAMBA HUYU HAPA! UNDANI WA KOCHA MSAUZI ANAYEHUSISHWA SIMBA/ ALIIPA MATAJI MAMELODI...
Переглядів 8 тис.День тому
Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
MBWADUKE: YANGA YAZIDI KUPAA CAF! RASMI HAIANZII TENA MCHUJO LIGI YA MABINGWA/ MAKUNDI IKO POT 2...
Переглядів 29 тис.День тому
MBWADUKE: YANGA YAZIDI KUPAA CAF! RASMI HAIANZII TENA MCHUJO LIGI YA MABINGWA/ MAKUNDI IKO POT 2...
MBWADUKE: MANU LOBOTA YANGA? AISEE AJIPANGE SANA KUPENYA MBELE YA KINA MAXI, PACOME, MZIZE...
Переглядів 4,3 тис.День тому
MBWADUKE: MANU LOBOTA YANGA? AISEE AJIPANGE SANA KUPENYA MBELE YA KINA MAXI, PACOME, MZIZE...
MBWADUKE: JOBE SECOND CHANCE SIMBA? REKODI ZAKE LIGI KUU AKIWA SIMBA NI HIZI/ FREDY, GUEDE YANGA...
Переглядів 929День тому
MBWADUKE: JOBE SECOND CHANCE SIMBA? REKODI ZAKE LIGI KUU AKIWA SIMBA NI HIZI/ FREDY, GUEDE YANGA...
MBWADUKE: NANI KASEMA KOMBE SHIRIKISHO CAF LIMEFUTWA? RATIBA MICHUANO YOTE CAF MSIMU MPYA NI HII...
Переглядів 7 тис.День тому
MBWADUKE: NANI KASEMA KOMBE SHIRIKISHO CAF LIMEFUTWA? RATIBA MICHUANO YOTE CAF MSIMU MPYA NI HII...
MBWADUKE: WHY MUTALE? WINGA MWINGINE SIMBA? HUYU ANA SIFA HIZI ZA ZIADA/ KIBU, ONANA, MIQUESSONE...
Переглядів 36 тис.День тому
MBWADUKE: WHY MUTALE? WINGA MWINGINE SIMBA? HUYU ANA SIFA HIZI ZA ZIADA/ KIBU, ONANA, MIQUESSONE...
MBWADUKE: REVIVING TIME! SIMBA KIKOSI KIPYA MAKALI UFUNGAJI MOTO/ MO, MANGUNGU...
Переглядів 4,9 тис.День тому
MBWADUKE: REVIVING TIME! SIMBA KIKOSI KIPYA MAKALI UFUNGAJI MOTO/ MO, MANGUNGU...
MBWADUKE: YANGA KINARA KWA UFANISI LIGI ZOTE BORA AFRIKA/ ZAFUATIA MAMELODI, ESPERANCE, MAZEMBE...
Переглядів 11 тис.День тому
MBWADUKE: YANGA KINARA KWA UFANISI LIGI ZOTE BORA AFRIKA/ ZAFUATIA MAMELODI, ESPERANCE, MAZEMBE...
MBWADUKE: UNSTOPPABLE! MO KWA GIA HII SIMBA IJAYO MOTO CHINI/ YANGA. AZAM, WAPINZANI CAF...
Переглядів 22 тис.14 днів тому
MBWADUKE: UNSTOPPABLE! MO KWA GIA HII SIMBA IJAYO MOTO CHINI/ YANGA. AZAM, WAPINZANI CAF...
MBWADUKE: OHOO! DUBE YANGA? NI BALAA ZITO/ KILA NAFASI MOTO/ AZIZ KI, PACOME, MAXI, GUEDE, MZIZE...
Переглядів 18 тис.14 днів тому
MBWADUKE: OHOO! DUBE YANGA? NI BALAA ZITO/ KILA NAFASI MOTO/ AZIZ KI, PACOME, MAXI, GUEDE, MZIZE...
MBWADUKE: EXCELLENT! STARS YAPIGA SOKA LA KIKUBWA KUIUA KWAO ZAMBIA ILIYOJAZA NYOTA KIBAO WA ULAYA..
Переглядів 23 тис.14 днів тому
MBWADUKE: EXCELLENT! STARS YAPIGA SOKA LA KIKUBWA KUIUA KWAO ZAMBIA ILIYOJAZA NYOTA KIBAO WA ULAYA..
MBWADUKE: TOBAAH! GAMONDI KUBAKI YANGA TABU IKO PALEPALE KWA WAPINZANI WAO/ SIKIA ALIVYOIPA MAKALI..
Переглядів 3,2 тис.14 днів тому
MBWADUKE: TOBAAH! GAMONDI KUBAKI YANGA TABU IKO PALEPALE KWA WAPINZANI WAO/ SIKIA ALIVYOIPA MAKALI..
MBWADUKE: POWERFUL STRIKER/ MGUNDA AZITEGA YANGA, SIMBA, AZAM/ MABINGWA ZAMBIA NAO WARUSHA NDOANO...
Переглядів 1,1 тис.14 днів тому
MBWADUKE: POWERFUL STRIKER/ MGUNDA AZITEGA YANGA, SIMBA, AZAM/ MABINGWA ZAMBIA NAO WARUSHA NDOANO...
MBWADUKE: YANGA, SIMBA MTIFUANO MKALI CAF/ MSIMU MPYA CAF UKIANZA SIMBA POINTI 28, YANGA 24...
Переглядів 53 тис.14 днів тому
MBWADUKE: YANGA, SIMBA MTIFUANO MKALI CAF/ MSIMU MPYA CAF UKIANZA SIMBA POINTI 28, YANGA 24...
GHALIB MZINGA: IT'S POSSIBLE! SIMBA WAKIFANYA HAYA WANARUDISHA MAKALI YAO CAF MAPEMA TU...
Переглядів 1,5 тис.14 днів тому
GHALIB MZINGA: IT'S POSSIBLE! SIMBA WAKIFANYA HAYA WANARUDISHA MAKALI YAO CAF MAPEMA TU...
GHALIB MZINGA: BEST OF THE BEST! SIMBA IKIWA NA KIKOSI CHENYE ELIE MPANZU ITATISHA/ YEYE, KINZUMBI..
Переглядів 34 тис.14 днів тому
GHALIB MZINGA: BEST OF THE BEST! SIMBA IKIWA NA KIKOSI CHENYE ELIE MPANZU ITATISHA/ YEYE, KINZUMBI..

КОМЕНТАРІ

  • @user-ot1vz6um2s
    @user-ot1vz6um2s 17 годин тому

    Sawa nimekuelewa nisemee iwekweli kweli simba nguvumoja nitashukuru yakitimia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @issarashidi4795
    @issarashidi4795 19 годин тому

    DRC Congo? What does C function in DRC?

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 20 годин тому

    Mimi nafikiri Yanga wakiamua kumsajili Chama si kwasababu ya kiwango au Ligi, nafikiri watamsajili kwa uzoefu wake Kwenye CAFCL! Kwenye ligi yanga wako ok!? Michuano mikubwa huitaji Wachezaji wenye vast experience!( Chama has that) Ndo maana bado tunamuona Ronaldo bado anachezea timu ya taifa kwa mfano! Sio kwasababu CR7 is at his best( kesha pita huko zamani) lkn UZOEFU wake kwenye michuano mikubwa,bado unaoneka in the EUROs! For me ,Chama will b a good asset for Yanga in CAFCL Rather than in the LEAGUE!

  • @GeraldNyamaiswe
    @GeraldNyamaiswe День тому

    Juhufi,maarifa,umoja ndiyo chanzo cha mafanikio yake; YANGA ni mbele daima nyuma mwiko.

  • @feisalyusuf496
    @feisalyusuf496 День тому

    30:29

  • @feisalyusuf496
    @feisalyusuf496 День тому

    😂😂asa mbona simba hawaipigii mahesabu port 1 au 2 au 3

  • @makalikuwili6889
    @makalikuwili6889 День тому

    Huwa nakuelewa Sana. Congratulations 👏

  • @AyubuKisiri
    @AyubuKisiri День тому

    Upo vizuro mchambuzi

  • @JohnMhenga-cj2cs
    @JohnMhenga-cj2cs День тому

    Excellent analysis

  • @AtickShelimo1-el7cw
    @AtickShelimo1-el7cw День тому

    Nakubl San

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo День тому

    kabla ya interviews setini sauti maaan inabast saaaan masikioni

  • @JuniorImamu
    @JuniorImamu День тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @user-ht5tc5yv5t
    @user-ht5tc5yv5t День тому

    Ngoja niwaambie mwanzo simba walikuwa wameamua kuachana nae chama, lkn siku mbili hzi wameliamsha tena wanamtaka kwahyo now ni 50/50 hajui aende wapi😅😅😅 maamuz yamebaki kwake

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 20 годин тому

      Chama anataka kucheza CHAMPIONS LEAGUE mkuu! Kucheza shirikisho ataona kadharirika! Wachezaji huwajui wewe😂😂😂 simba watahangaika kusajili QUALITY PLAYERS kwasababu hawamo CAFCL 🤣🤣

  • @elishaayubu-fh3vw
    @elishaayubu-fh3vw День тому

    Enyewe umejaa mathematics Kwa head

  • @SaidiMshua
    @SaidiMshua День тому

    Kaka unajua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jacksonjoseph6303
    @jacksonjoseph6303 День тому

    Uchammbuzi usio na wivu wala unafki

  • @jacksonjoseph6303
    @jacksonjoseph6303 День тому

    Huyu anatakiwa awe mwlimu wa wachambuzi nchini

  • @saidially5892
    @saidially5892 День тому

    Pacome, azizi, chama, max, dube, yao kwasi, aucho mmmmmh!. Ili tatizo 😂😂😂😂😂

  • @DeusChakiza
    @DeusChakiza День тому

    C.C.C (clatus chota chama)

  • @DeusChakiza
    @DeusChakiza День тому

    C.C.C TUNA MUITAJI YANGA.

  • @KarokoraJeremia
    @KarokoraJeremia 2 дні тому

    Jua risemaro ripo nakama aripo raja iyo mariyetu

  • @longinoSimon-dz2eb
    @longinoSimon-dz2eb 2 дні тому

    Nimekusomaaa

  • @rizikylaizer1602
    @rizikylaizer1602 2 дні тому

    Tumpeni mgunda timu hizo tetesi zingine sipendi mgunda abaki

  • @fadhilisteven7914
    @fadhilisteven7914 2 дні тому

    Huyu ndio mchambuzi sasa

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 2 дні тому

    Kaka nakuomba siku 1 utufafanulie malipo wanayopata timu zinazoshirik ligi kuu na ligi daraja zngne nchini il tujue. Nna imani utatusaidia kutuletea hilo somo ndugu yngu. Mungu akubarik sana.

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 2 дні тому

    Asante kw taarfa hii kaka

  • @eliasnaftalius65
    @eliasnaftalius65 2 дні тому

    Utopolo 😢

  • @EddazariaMsulwa
    @EddazariaMsulwa 2 дні тому

    Sio Simba ni Makolo wapo shirikosho huko 😂😂😂

  • @user-xg9ix9ex9h
    @user-xg9ix9ex9h 2 дні тому

    Kwahiyo hiyo inasaidia nini kwamba watacheza klabu bingwa au

  • @zakayomgaya2758
    @zakayomgaya2758 2 дні тому

    Iyo nimali. Lete msimbazi tufulahi 😂😂😂😂

  • @Marwawilliam
    @Marwawilliam 2 дні тому

    Bravo kaka kwa kazi nzuri

  • @JohnKavula-xw7xl
    @JohnKavula-xw7xl 2 дні тому

    Ah nikajua ameshasaini yanga kumbe ni mbwembwe tuu??🤔🤔🤔🤔🤔

  • @jmwa
    @jmwa 2 дні тому

    Haaa usimsahu hakim pia nasikia mhandisi wetu anataka wino wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 izo za ndaniii uwezi elewa

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 2 дні тому

    Simba pambaneni mlete watu

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 дні тому

    Mnamuota huyo chama mtamsajili xana kila msimu

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 2 дні тому

    We funga mdomo kama ni Yanga kufa na chuki zako

  • @DanielMarco-js1kz
    @DanielMarco-js1kz 2 дні тому

    Aje!

  • @Raj-gs2oj
    @Raj-gs2oj 2 дні тому

    Mim naon wakawaida tu huyu jamaa

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 2 дні тому

      Wakawaida kwa ni mwanao funga mdomo kama huna la kusema

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 дні тому

    Je atafaa hapo msimbazi

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 2 дні тому

      Atafaa usiwe na wasi haturudiii makosa tuko makini

    • @user-kn1mr2em5i
      @user-kn1mr2em5i 2 дні тому

      Mhhh anaonekana haifai maana alishawahi kuwa chini ya hafiz😊😊

  • @michaelkasilabwa3096
    @michaelkasilabwa3096 2 дні тому

    Aisee huyu jamaa yuko vizuri kwenye data

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 2 дні тому

    Unatusomesha ukocha kabisa

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 2 дні тому

    Sana hata mimi najua mpira kwasabu ya mzee wa data

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 2 дні тому

    Hana utofaut na kibu wa simba sajili ya hovyo isije ikatughalim kudaiwa kila kuitwapo leo hana utofait na skudu. na pia hakua ulazma wakua na wachezaz weng wakigen

  • @ezralazaro4967
    @ezralazaro4967 2 дні тому

    Kwel wewe Ni mwalimu wa mpira

  • @omaryseboha
    @omaryseboha 2 дні тому

    Mwamba sana mbwaduke

  • @luindabablui7213
    @luindabablui7213 2 дні тому

    🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @danieldeogratus1683
    @danieldeogratus1683 2 дні тому

    Darasa Hili auntie Ngungu Boy

  • @graysonjohn1080
    @graysonjohn1080 2 дні тому

    wewe ni mwalimu

  • @BarakaPatrick-qe6se
    @BarakaPatrick-qe6se 2 дні тому

    Daah imebaki uchambuzi wa usajili tumalizie ❤❤❤

  • @jovinmashauri7883
    @jovinmashauri7883 2 дні тому

    huyu anakuja sio mbaya